kibao—Ubao au kipande cha mbao kilichotumika kama bango, kibao cha matangazo au alama ya kuonyesha kitu.